
#RMT: Akiwa na timu yake ya taifa ya #Burundi, mshambuliaji mpya wa klabu ya #YoungAfricans ya chini #Tanzania?? #SaidoNtibazonkiza ameifungia n… – #RMTUpDates
Akiwa na timu yake ya taifa ya #Burundi🇧🇮, mshambuliaji mpya wa klabu ya #YoungAfricans ya chini #Tanzania??🇿 #SaidoNtibazonkiza ameifungia nchi yake ma goals mane (4) katika mechi tatu (3) tangu arudishwe ndani ya kikosi cha timu ya taifa.
Leo Ijumapili Novemba 15, 2020 amefunga ma goals mawili katika mchezo wakutafuta tiketi ya #AFCON2021 kati ya #Burundi🇧🇮
na #Mauritania🇲🇷
Neno moja kwake?
#PérèsNIBIGIRA
0 Comments
No comments!
There are no comments yet, but you can be first to comment this article.